Sunday, March 22, 2015

CITY READING CHAMPIONS LEADERSHIP SUMMIT ARUSHA

CITY READING CHAMPIONS-ARUSHA inakukaribisha katika LEADERSHIP SUMMIT(Business category) itakayofanyika Tarehe 28.03.2015 Jumamosi kuanzia saa saba mchana pale Corridor Springs Hotel.

Masomo yafuatayo ya biashara yatafundishwa;
1.What it takes to start a business.
2.Impacts of loans in business.
3.Common mistakes in business.
4.A new paradigm in business(mantaining and improving customer base).
Haya yote yatasindikizwa na shuhuda toka kwa wafanyabiashara waliothubutu na kufanikiwa(Testimonies from succesful business people)

Tafadhali mshirikishe na mwenzio na uje nae.
HAKUNA KIINGILIO.

NJOO USHUHUDIE MABADILIKO NA UWE SEHEMU YA MABADILIKO.